Iko vile bandugu !
Jaza mapesa na mali zote unazozijua wewe hapa Duniani lakini ipo siku huyo mtu atajua ukweli wa maisha kuwa ni fumbo tu !!
Hamna lolote hapa !
Huyo Mheshimiwa ameshaujua huo ukweli ndio maana amesema hayo aliyoyasema !
Hongera zake Mungu amemzindua bado akiwa na nguvu zake !
Wengine huwa wanajulishwa hiyo kitu when itβs too late β° !