Kenyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2012
- 414
- 314
Muungano wa sekta binafsi nchini Kenya(KEPSA) umesema kuwa taifa linakadiria hasara ya Ksh bilioni 3 kila Upinzani unapoongoza maandamano ya kupinga Serikali.
Kepsa imesema hasara hii inatokana kufungwa kwa Biashara siku za maandamano kwani makampuni mengi yanasitisha shughuli kutokana na woga wa kushambuliwa na waandamanaji.
Kepsa kadhalika imeeleza kuwa hasara ya bilioni 3 ni sawa na kupoteza masaa 14 ya ukusanyaji kodi.
Muungano huo sasa umetoa rain kwa Serikali kutuliza Hali kabla ya kitumbua hakijaingia mchanga.