Unajua, sio jambo la busara kufurahia projects ambazo hata hujui kama zitakuwa realized except on paper. Kwanini usiweke vitu ambazo tayari ziko or tayari zinaendelea kujengwa.
tukiweka mbali kelele, huo mji ni wa kipekee Tanzania town planing zimetushinda. kelele za kuhamia dodoma zinazidi ilhali mji wa vyuo vikuu hauonekan kwenye mipango, mkoa wa viwanda morogoro hausikiki, Ghala la taifa iringa halieweki. Kenya wametuzidi sana tuwatumie kama mfano.