JICHO LA 3
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 356
- 62
The boss...nnachoogopa hapa ni jinsi gani atakavochukulia
maana kuna wengine unaweza jikuta ukazua ugomvi
si unajua kila binadamu na uelewa wake.
ongea nae kistaarabu
mwambie dada/kaka punguza sauti ya mziki wako....
tumechoka sana wenzio.ataelewa tu kama mstaarabu...
asipoelewa basi unamuacha...
msichukulie kero ndogondogo kama za kupita....
zinaathiri sana.....ndo maana kila mtu akipata pesa
anakimbilia kununua gari,mwisho kero ya foleni inazidi...
unaeweza maana utapewa za chembe mpaka basunamwambia tu....
hata dereva akifungulia mziki kwa kelele mnamwambia tu....
Jamani wale wenzangu na mie wadadakwa wakaka tunaopanda daladala..
utakuta mtu kwenye daladala anasikiliza mziki kwenye simu yake
simu yenyewe ya kichina, nasema ya kichina cz ni simu zinazoongoza kwa kelele
badala ya kuweka headphone ili iwe kwa faida yake yeye anaweka sauti ya nje tena kali sana kiasi kwamba inakuwa kero kwa abiria mwenzake
wengine kuongea hatuwezi sababu huwezi jua unaemwambia atachukulia vipi suala hilo lkn kiukweli inaudhi.
ombi langu kama wengine mnatabia kama hizi bs jirekebisheni.
na washenzi wengine kwenye dala dala wana tabia za kujisogeza na kuwabana kina mama bila sababu,washenzi tu.
Mkuu kweli umechukia_maake hiyo lugha uliyotumia ni kali sanana washenzi wengine kwenye dala dala wana tabia za kujisogeza na kuwabana kina mama bila sababu,washenzi tu.
na washenzi wengine kwenye dala dala wana tabia za kujisogeza na kuwabana kina mama bila sababu,washenzi tu.
mi ndo maana nowdayz sipandi daladala nakula za boda tu had kwa ofc