Kero inayoletwa na watozaushuru wa maegesho ya magari moshi mjini

monaichi

New Member
Joined
Apr 6, 2013
Posts
4
Reaction score
0
katika pitapita yangu mwezi uliopita nilikutana na kisa cha hawa jamaa wenye dhamana ya kukusanya ushuru wa maegesho ya magari jina la kampuni inaanzwa na P ,walimvamia dada mmoja kwenye gari lake na kutaka kulichukua wakamnyanganya na funguo za gari,kisa wanavyosema ni kuwa hakulipa ushuru wiki iliyopita je hiyo ni haki ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…