Kero katika mahusiano ya ndoa ....

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
Mmeoana /or Boyfriend na G/friend mahusiano ya sasa hayatabiriki maana baadhi GF/na BF tayari walishaanza kuishi kama wanandoa:A S 39:

Mwanaume unatoka kazini au popote katika shughuli zako za kila siku badala upite nyumbani kuijulia hali familia ndio uendelee na mengine unapitia Bar au kwa marafiki zako, Mama /Mpenzi kaandaa chakula kasubili utatokea saa tatu/nne /tano huonekani Wife anaamua kulala .

Saa saba /au nane /Tisa mme anaingia kwanza ananuka pombe utampa maji ya kuoga, chakula maybe atakula au atagoma..then anadai unyumba ...:A S-confused1:

Hii naona kama ni Kero kwanza unakuwa umemsumbua usingizi wake kuukatili ,then aanze kujiandaa kisaikolojia ili upate haki yako......kwanini usirudi mapema kaa na family /kuleni pamoja /na muda wa kuingia kulala mnakuwa pamoja........(faragha )

Why .......Why........ Why ????
 
Akiomba unyumba inathibitisha kwamba kweli katoka bar, hivyo shukuru!
 
ni kero sana,halafu atalalamika kuwa humjali yet anaspend 80% ya siku nzima huko nje na the so called friends na akifika home ananuka pombe ka aliingizwa kwa drum za TBL....AAGHRRR
 
mmh tabu ennh????

yani nikisikia mambo km aya yani napata uoga kabisa wa kitu ndoa......

life z tooooooo shot we spsed 2liv in happpynes ol da tyme sa km kuna kiumbe kinaamua kabisa kwenda kudownload kero na kukuletea....dahhh inaumiza!!

mmh ebu tuambien jamani ivi wanaume wote ni makorokocho??????manake kesi nyng nazisikia kwao thou kuna wanajike wengine ni makorokocho usipime bt in high parcentage z male creatures who blamed maaara nyng


pole swet hat..
omba mungu kikombae iki kikuepuke....na shetani aliyemfunga amwachie

polemumy:embarrassed1:
 
Uhondo wa ngoma ingia ucheze ndio utajua utamu na uzuri wake.
yalishanikuta sina hamu na kiumbe kinaitwa mwanaume ..no not at all..................:closed_2:
 
Pole First Lady! But nadhani ukiendelea kumfanyia mazuri muda anaochelewa kurudi let say in a month then ukatafuta weekend moja mkatoka out ukamweleza machungu yako, nadhani ataelewa!
 
Akiomba unyumba inathibitisha kwamba kweli katoka bar, hivyo shukuru!

Swala hapa sio unyumba ,swala ni mapenzi na family..mnaona nyumba zenu kama kituo cha police au??
Ukiwa huko huwa hukumbuki family yako?
 
Uhondo wa ngoma ingia ucheze ndio utajua utamu na uzuri wake.
yalishanikuta sina hamu na kiumbe kinaitwa mwanaume ..no not at all..................:closed_2:

Pole sn mpnz,yan mbona me hata naogopa,yan hapa nlipo tu kama boyfrend na girlfrend ni kazi,sasa nikiingia huko itakuwaje?
yan hawa wanaume hawakumbuki hata kama wametoka kwa mtu anitwa mwanamke?,kwanini wasituheshimu jamani?

Mimi nam-appreciate sn mwanaume anayemheshimu mke wake/mpenzi wake hata kama anatoka nje.(fide,crispin,makoyo mpo??,kwa niaba ya wenzenu)
 
ni kero sana,halafu atalalamika kuwa humjali yet anaspend 80% ya siku nzima huko nje na the so called friends na akifika home ananuka pombe ka aliingizwa kwa drum za TBL....AAGHRRR[/QUOTE]

ha ha Daughter una vituko wewe
 

Amen ..
Rose1980 nadhani hao marafiki alionao ni wabaya kwa nini hawamkumbushi kama anafamilia ?? saa saba/nane /tisa ..hiki sasa kichefuchefu
 
kuna mwenzio juzi moja alikuwa analalama ..............anasema yeye kwa sasa ana mtoto mdogo ni mama wa nyumbani amekuwa. anashughulika saa zote kuhusu mtoto mdogo na wengine wawili wakubwa, masuala ya chakula kuwalisha kuwavisha kufua na kila kitu. Hana msichana wa ndani wala mtu yoyote wa kumsaidia kazi.

ikifika weekend Mwanamme anasema amechoka kazi nyingi Mke awa control watoto wasimsumbue. Alikuwa akilalama hivi mwanamme anamtegemea yeye apumzike saa ngapi?
 
Ni kero, inabidi kubadilika. Ila ushauri kwa Mwanamke... Hata akirudi asubuhi, mpokee vizuri, muandalie maji ya kuoga, muulize atakula nini.. akifanya hivyo kwa miezi kadhaa! Ipo siku ATABADILIKA huwezi amini.... Ila kama akirudi amelewa halafu wewe unamKOROMEA.. Walah hawezi acha.. Akina MAMA mna nafasi kubwa sana ya kujenga au kubomoanyumba zenu.
 
Uhondo wa ngoma ingia ucheze ndio utajua utamu na uzuri wake.
yalishanikuta sina hamu na kiumbe kinaitwa mwanaume ..no not at all..................:closed_2:

pole sana EW wewe mbona una machungu shost yep yaliyokukuta ?????
 

causin inawezekana wa kwako akawa tofauti ...we jitose tu kwenye chama hiki muda ukifika ..lakini hawa jamaa sijui wakoje ..anaacha bear kwenye fridge nyumbani huyo chawote bar
 
ha ha Daughter una vituko wewe

sio vituko sweetness ni kweli kabisa
yaani anaona ni bora atumie muda mwingi huko nje kuliko kuwa na familia yake,as if aihitaji.majukumu yote ya familia anaachiwa mama,its not fair at all.wanafikiri jukumu la baba wa familia ni kuprovide kifinance mengine yote ni ya mama.
 
causin inawezekana wa kwako akawa tofauti ...we jitose tu kwenye chama hiki muda ukifika ..lakini hawa jamaa sijui wakoje ..anaacha bear kwenye fridge nyumbani huyo chawote bar

Wanasema bear za home hazipandi....
 

Kumbe tuwabembeleze kama watoto au mnafanya makusudi?????khah inachosha
 
Amen ..
Rose1980 nadhani hao marafiki alionao ni wabaya kwa nini hawamkumbushi kama anafamilia ?? saa saba/nane /tisa ..hiki sasa kichefuchefu


nani wa kumkumbusha mwenzie wakakti wote wamekutana?....FL mie nikipika lazima ale, yaani akitaka tulale kwa amani bac ale tu, nachoka jamani, unatoka job upo hoi, unawahi home kupika ili aje akute mambo shwari then likirudi huko licle, hapana ayakula wacha atapike.....ndoa ngumu bwana.





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…