Kero katika mahusiano ya ndoa ....

hii kuna wakati inasaidia na kuna wakati inavuruga kabisa, inategemea kichwa cha mwanaume, kama maji maji tu hata ufanye nini! mie ilinisidia lakini sio kwa kuuliza unakula nini na cjui kitu gani, mie ilikuwa kwa kumtayarisha asubuhi, nguo kila kitu safi, haulizwi mtu ametoka wapi wala ilikuwaje, alikoma na kichwa cha kimarangu, alijirudi mwenyewe!...
 
Kumbe tuwabembeleze kama watoto au mnafanya makusudi?????khah inachosha

Sio hivyo Mama! Mtu amekuja na litabia la kuzaliwa.. Bila kumfanyia hivyo, kubadilika awe anarudi saa 11, beer NO!!! ni ngumu!
 
Hongera sana Nyamayao!!!
 
nahisi asipokula atalala nacho kwa kitanda, no joke!!!!!!!!!!!!!
 
nahisi asipokula atalala nacho kwa kitanda, no joke!!!!!!!!!!!!!

dearest...lazima ale, yaani akitaka amani ni ale, kama aliona angekula huko aliko angesema.
 
Unaweza kufanya hayo uliyoyanena kwa mkeo???
 
festiledi wani leo ''UMENIPIGA YA KICHWA'':A S tongue:
 
Mmmmhhhh! We nawe!

nini tena???

dearest...lazima ale, yaani akitaka amani ni ale, kama aliona angekula huko aliko angesema.

hapo sasa japo mtu awe considerate enough akuambie mamii leo msosi home no, anakuacha unajibidisha afu akirudi ananyooka kitandani................agrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!
 
Lakini mbona sioni wanaume wakichangia katika hii mada? naona wanawake ndo wengi na wakati thred hii ni kwa ajiri ya mens hasa?
Nyie wanaume mko wapi? ina maana mnaona hii ni sawa tu.
Jamani hebu jitokezeni mseme kwa nini mko hivo?
 
nini tena???

hapo sasa japo mtu awe considerate enough akuambie mamii leo msosi home no, anakuacha unajibidisha afu akirudi ananyooka kitandani................agrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!

na pengine umechukua jitihada za ziada kumsubiri ili mle wote...ni mwendo wa saa 7 ndo mzee anaonekana home,anagoma kula basi na we apetite haipo tena,linanyooka kitandani then anaexpect miujiza itokee huku kwa bed....aaah jameni
 
nini tena???

hapo sasa japo mtu awe considerate enough akuambie mamii leo msosi home no, anakuacha unajibidisha afu akirudi ananyooka kitandani................agrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!

atoe taarifa kwa kweli, mie huwa akinijulisha cna shida, wala si complain kwamba kwanini umefululiza kula cjui kwenye party au wapi anajua mwenyewe lakini taarifa ili nipate muda wa mie kupumzika.
 
nahisi asipokula atalala nacho kwa kitanda, no joke!!!!!!!!!!!!!

bht inakera kweli kweli ..unaamua kukaa jikoni mwenyewe ingawa umechoka na ubangaizaji wa kila siku..unapika menu saaaaafi
mzee anakuja eti ameshiba..kisa sijui ndo kachipatia chakula Bar na kina Eliza..lete kuku ,nyama choma ,ndizi .mishikaki......
 
siku hizi hatuli baa wala kwa ELIZA!.....
ni kitimoto tu na bia
 
na pengine umechukua jitihada za ziada kumsubiri ili mle wote...ni mwendo wa saa 7 ndo mzee anaonekana home,anagoma kula basi na we apetite haipo tena,linanyooka kitandani then anaexpect miujiza itokee huku kwa bed....aaah jameni

hivi mpaka hapo bado unamsubiri mtu aje mle? hapana! kama nimejickia kumsubiri ni saa 4 mwisho, na hapo ni kama nimejickia kumsubiri,hivi na unavyomsubiri mpaka hiyo saa 6-7 upogo macho tu na tv?...mwehh
 
wanakula kula mavitu ambayo siyo fresh huko wanaacha fresh vya nyumbani, inakera sana.
 
Maisha ndivyo yalivyo, sometimes, ilimradi tu mambo yasiende. Lakini kwa wale wanaume wasiokunywa pombe, wanarudi mapema na wanasaidia baadhi ya kazi za nyumbani mambo ni mazuri??? I'm one of them, but I wish ningekuwa mlevi kama wanaume wengine. Ukikaa nyumbani filimbi hazikomi na unapofika huo wakati wa kwenda kulala tayari kuna vi-bif vya kijinga vingi ambavyo ndo vinakuwa cited kama sababu ya kunyimwa uhaus. Hakuna lililo jema kwa mwanamke kwenye mambo kama haya. There is always KISINGIZIO!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…