Kero kubwa mno ukiwa bar au club

waraha

Member
Joined
Oct 24, 2014
Posts
22
Reaction score
5
kwa mfano umekuja uko club ama bar anatokea mshkaj anajidai anakufaham unampa bia moja.. wewe uko na dem wako hapo... kale ka bia bas anakanywa halaf anaanza kumshika shika dem wako kiuno... anaking'ang'ania wee kuliko hata we mwenye pesa... haka katabia kanakera mno ama mnasemaje waungwana
 
Kuna tofauti kubwa kati ya mwanaume na dume :mvutaji:
 

wewe ni zuzu? iweje MTU amshike mwanamke wako kiuno?
 
Nyie watoto wa mama ni thread zenu mnakera sana???
 
Kwa nini demu wako asikatae. Basi ni mshikaji wake pia.
 
Wewe ukiwa wapi? Kwanza unalipa kodi kweli wewe au unahonga pesa zetu?
 

Jamaa unaonekana una kaumbo kadoogo halafu mnyonge sana#
 
mbona watoto wa siku hizi mmekuwa na mikono mizito namna hiyo...Tittle ya Thread ilibidi iwe "nilivyomtia vitasa jamaa aliemshika shika kiuno demu wangu"
Otherwise wewe kama sio kibamia basi ni marioo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…