Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,979
Wengine wanashindwa kuji-control....wengine ni makusudi....wengine ......wengine..... wengine....
sooo true....................... waache uzembe huo bana.Hivi kwa nini kunako 6 kwa 6 baadhi ya watu wanakera sana?
Utakuta mtu ametoka na mtu wake,halafu wameingia kutiana mshawasha
kwenye nyumba za kupanga uswahilini!
Halafu unakuta mdada anapiga kelele utadhani anachinjwa,au mwanaume ananguruma kwa
nguvu utadhani simba dume linamnanihii jike!
Jamani,inafaa kukumbuka kwamba kwenye majumba kuna watoo,na kwa nyumba za kupanga
uswahilini vyumba vimeumana!
Ni busara kubalanca maraha bila kusumbua watu wengine