B butaladangwa New Member Joined May 23, 2024 Posts 1 Reaction score 1 Feb 8, 2025 #1 Nataka kuuliza serikali ina mpango Gani kuhusiana na watoto wa mtaani jijini mwanza. Maana wanasumbua kweli katika maeneo ya Seketoure na Nata Je, hao watoto hawana wazazi. Na kama hawana wazazi, kwanini Serikali halijalichukulia maanani hilo suala?
Nataka kuuliza serikali ina mpango Gani kuhusiana na watoto wa mtaani jijini mwanza. Maana wanasumbua kweli katika maeneo ya Seketoure na Nata Je, hao watoto hawana wazazi. Na kama hawana wazazi, kwanini Serikali halijalichukulia maanani hilo suala?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Feb 8, 2025 #2 Wengine wako pale mjini kati karibu na makoroboi dah hadi huruma