username1
JF-Expert Member
- Jan 14, 2016
- 267
- 253
Wadau kero yangu ni kuhusu tiketi za VIP B zinakatwa kupitiliza idadi/uwezo wa jukwaa hivyo kupelekea mashabiki kusimama kwa kukosa nafasi. Kila ninapokuja hapa hasa zikicheza hizi timu kubwa simba/yanga lazima ugomvi utokee. Hii inasababishwa na management kushindwa kusimamia vyema zoezi la uuzwaji wa tiketi