Kero: Msongamano wa vibanda vya machinga Mbezi Mwisho unaziba maeneo ya waenda kwa miguu

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Posts
16,908
Reaction score
19,123
Msongamano wa vibanda vya wafanyabiashara wadogo maarufu machinga hadi kuziba eneo la waenda kwa miguu katika eneo la Mbezi Mwisho, Manispaa ya Ubungo, mkoani Dar es Salaam, kitendo kinachosababisha usumbufu kwa wapita njia na vyombo vya moto.

vibanda.jpg
PICHA: SABATO KASIKA

Chanzo: Nipashe.
 
na stand kuu ya mabasi kuwa mbezi kila mtu anataka awe na kibanda hapo
 
Msongamano wa vibanda vya wafanyabiashara wadogo maarufu machinga hadi kuziba eneo la waenda kwa miguu katika eneo la Mbezi Mwisho, Manispaa ya Ubungo, mkoani Dar es Salaam, kitendo kinachosababisha usumbufu kwa wapita njia na vyombo vya moto.

PICHA: SABATO KASIKA
Chanzo: Nipashe.
Wana vitambulisho vya 20,000
 
ni vurugu mno pale....dah....hakuna atakaekuelea.....manispaa wanajilipa kimya kimya
 
Msongamano wa vibanda vya wafanyabiashara wadogo maarufu machinga hadi kuziba eneo la waenda kwa miguu katika eneo la Mbezi Mwisho, Manispaa ya Ubungo, mkoani Dar es Salaam, kitendo kinachosababisha usumbufu kwa wapita njia na vyombo vya moto.

PICHA: SABATO KASIKA
Chanzo: Nipashe.
Vimepigwa X na tangazo la ONDOA mwezi wa pili sasa havijaguswa
 
Mbezi imekua chafu aisee hadi barabarani high way watu wanapiga kimba katikati kabisa... Halafu ndio stendi ya kimataifa eti wageni toka nje wanashuka hapo.... Aibu aibu
 
Msongamano wa vibanda vya wafanyabiashara wadogo maarufu machinga hadi kuziba eneo la waenda kwa miguu katika eneo la Mbezi Mwisho, Manispaa ya Ubungo, mkoani Dar es Salaam, kitendo kinachosababisha usumbufu kwa wapita njia na vyombo vya moto.

PICHA: SABATO KASIKA
Chanzo: Nipashe.oo 0
Ila wamatumbi tumeshindwa kabisa kuwa organized. Jamii zetu sisi weusi ni wakusimamiwa (supervised)
 
Kuna wakati tunatatua tatizo kwa kutengeneza tatizo kubwa zaidi.

Back
Top Bottom