Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,668
- 3,751
Huu mtandao unazidi kuwa KERO kwa BAADHI ya watumiaji.
Hivi nikwanini mnagawanya dakika za kutumia mchana na nyingine za usiku? Tena eti kuanzia saa nne usiku, hivi mtu mzima anaongea mambo gani usiku huo kila siku?
Kama kwa utafiti wenu mmeona wapo wateja wenu wengi wanatumia muda huo,basi wekeni chaguo ili mteja aamue kama anajiunga na kifurushi chenye dakika hizo za usiku au vinginevyo.
Tigo badilikeni, huduma zenu haziridhishi kabisa. Mtandao upo unakatakata mara unaambiwa namba unayopiga haipo ukirudia unaambiwa inatumika. Sasa piga namba 100 huduma kwa mteja,unaweza ukapiga mara mia hakuna mpokeaji.
TIGO BADILIKENI MAMBO YA KUWEKEA WATEJA DAKIKA ZA USIKU SIO KILA MTU ANATAKA KUBWBWAJA NA SIMU USIKU WA MANANE
ONDOENI ULAZIMA WA KUTUMIA DAKIKA KUANZIA SAA NNE USIKU VINGINEVYO WATAWAHAMA WENGI