KERO:Polisi ni wezi na matapeli wa mali za watu

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Ili swala la malalamiko idara ya polisi lijaanza leo ila lilikuwa mda tu.

Polisi ni wezi na matapeli.

Hapa JF mtakuwa mashuuda na malalamiko.

Kwa nini ukiwa na kesi au wamekukamata wanachukua mali zako mfano simu, laptop,pesa hata wakija nyumbani kwako wanaweza kubeba hata friji na ukifatilia wanaweza kukupa kesi au kukutishia.
 
 

Attachments

  • 1000020485.jpg
    12.1 KB · Views: 10
  • E2J15v45XLSQdTMG.jpeg
    58 KB · Views: 11
Kweliiii kabisaaas.....
 
Siku zote huwa naamini Polisi ni "Certified Gangsters" huwa naishi nao kwa akili sana.
Certified gangsters—watu waliobobea katika kukusanya rushwa na kuendesha vitendo vya wizi, lakini wanaolipwa fedha kidogo sana kwa kazi hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…