ROOM 47
JF-Expert Member
- May 23, 2022
- 2,301
- 7,460
Kumekuwa na hali ya kushangaza sana kwa wasafiri wa train ya Deluxe kutoka Dsm to Kgm hasa kwa abiria ambao wanakata ticket kupitia website zao hii imejirudia zaid ya mara nne katika kupata ticket online yaani wanawafungia wateja wasipate ticket kwenye website zao mpaka uende kwa mawakala wao sasa kuna umuhimu gani wakuweka online ticket watu wanapata tabu sana.
Watu wanakuja kuweka foleni kuanzia saa kumi usiku mpaka saa hivi saa mbili asubuhi hakuna huduma yoyote online. Badilikeni hasa kitengo cha IT mpo slow sana kwenye utendaji wenu
Hayo mambo ya kufanya biashara na mawakala sidhani kama ni cha uungwana wakati watu wanatoka mbali kufuta tiketi.
Needs change and new Trc@trc md@kadogosa