A
Anonymous
Guest
Kumekuwa na kero ya kukosa utulivu nyakati za usiku baada ya uwepo wa sehemu hii ya biashara kwani sehemu hii ipo karibu na hospital na makazi ya watu na kusababisha watu kushindwa kulala wakiwemo watoto, pia wagonjwa hawapati utulivu na hakuna anayesema lolote kuhusu hili.
Nahisi ni kuogopa kupaza sauti kutokana na mmiliki wa sehemu hiyo ya biashara ni mtumishi wa Serikali.
Tafadhari naomba mtusaidie kupaza sauti hususani siku ya Jana hatujalala makelele ya mziki tu.
Nahisi ni kuogopa kupaza sauti kutokana na mmiliki wa sehemu hiyo ya biashara ni mtumishi wa Serikali.
Tafadhari naomba mtusaidie kupaza sauti hususani siku ya Jana hatujalala makelele ya mziki tu.