mpasta
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 919
- 2,004
Wadau habari za mchana.
Kuna hili jambo la kulipishwa gharama ya malipo ya Serikali namawakala nilikuwa nalisikia kwa watu leo limenikuta.
Nimeenda kufanya malipo ya TZS 560,000/= kwa CONTROL NUMBER 991440462684, Wakala wa Benki ya CRDB kaniambia nilipe TZS 1500/=
Nilipouliza ni malipo ya nini, akanijibu gharama ya huduma kwa mteja hawalipwi kamisheni kwa malipo ya serikali.
Wajuzi wa mambo naomba kujua hizi gharama ni haki au tunapigwa??