Kero ya maji Mbezi Louis kwa Yusuph

Kero ya maji Mbezi Louis kwa Yusuph

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Morning,

Now hii imekuwa kero kubwa huku Mbezi maji yamefunguliwa juzi leo morng yamekatika na kurudi kwake ni week.

Tumekaa week bila maji the yanakuja kufunguliwa two days yanakatika na hawafungi mpaka week ipete imezidi sasa.

Af mwisho wa mwezi bill kubwa ase silipi this time.
 
Acha wakate. Kikubwa ni kupaza sauti watu wa mamlaka husika walione na walitatue kuhusu bill kua na utaratibu wa kunote idadi ya unit utumiazo ni rahis kupinga pale unapozidishiwa.
 
Back
Top Bottom