A
Anonymous
Guest
Siku za karibuni kumekuwa na wimbi la uuzwaji wa wazi wa madawa ya kulevya aina ya Heroin katika stendi kuu ya mabasi ya Arusha.
Vijana wanavuta unga waziwazi bila ya kificho, na wanaongezeka kila kukicha.
Mateja ni wengi tofauti na hapo zamani, kiasi cha kutishia usalama wa abiria wanaotumia stendi hiyo.
watumiaji hao (mateja) hulala mahali popote pale stendi hali inayosababisha kero kubwa kwa wananchi.
Kupitia bandiko hili tunaamini hatua stahiki zitachukuliwa na mamlaka husika.