TanzaAlphaMill
New Member
- Jul 23, 2024
- 1
- 4
Mitandao ya simu inavuka mipaka sasa. Suala la internet tunayonunua haiwezekani tupangiwe MB za whatsap na za internet ya kawaida pindi tunaponunua bando.
Kwanini kama umenunua GB2 za internet watuache tupange tunatumia wapi sio kutupangia za whatsap ni kiasi fulani afu ya matumizi mengine zinazobakia.
Unakuta internet imekata umebaki na ma MB ya whatsap mengi yasiyo na kazi. Mamlaka husika iangalie kwa undani hili suala limekuwa kero sana kwa sasa.