Nimesikitishwa na kitendo cha shule moja ya Sekondari ya serikali,kutaka wanafunzi warejee makwao,kwa kuwa shule haina CHAKULA na Mzabuni (Supplier) anaidai shule millioni 400.Wanafunzi ndio wameripoti LEO shule,najiuliza kama kulikuwa na tatizo kwa nini asitupe taarifa MAPEMA sisi wazazi/walezi yeye akasubiri mpaka wanafunzi wafike shule ndio aanze kusema Wanatakiwa kurudi nyumbani,ukizingatia wanafunzi wengine wanatumia zaidi ya LAKI MOJA kama nauli ya kwenda shule. Hii ndiyo BIG RESULT NOW KATIKA ELIMU..???/?