A
Anonymous
Guest
Kumekuwa na tabia ya madereva wa daladala kupaki magari na kupakia abiria nje ya vituo hususani kituo kidogo cha mabasi Keko Bora (maarufu tameco), Maduka Mawili na Serengeti kwa daladala zinazotoka mjini kuelekea Temeke kupitia njia ya Chang'ombe.
Kero hii imekuwa ikisababisha foleni na kuhatarisha usalama wa watumiaji wengine wa barabara hiyo hasa kwa watumiaji wa barabara inayotokea Kilwa road kuelekea keko na maeneo mengine ya mji.
Mamlaka husika zichukue hatua kukomesha utaratibu huu mbovu wa baadhi ya madereva wanaopaki nje ya vituo.
Vituo hivi vina uwezo wa kupaki daladala zaidi ya 5 kwa wakati mmoja lakini havitumiki ipasavyo.