sam leon JF-Expert Member Joined Jan 29, 2017 Posts 890 Reaction score 1,191 Apr 6, 2017 #1 Ebhanah hii ni hatari,leo nkasema nisogee mkoa kidogo nikawacheki ndugu,jamaa na marafiki,ila kufika ubungo yani hawa wapiga debe ni kero unagombaniwa kama mpira wa kona Dah yani kero kinoma!!!!
Ebhanah hii ni hatari,leo nkasema nisogee mkoa kidogo nikawacheki ndugu,jamaa na marafiki,ila kufika ubungo yani hawa wapiga debe ni kero unagombaniwa kama mpira wa kona Dah yani kero kinoma!!!!