Kero za muungano zahamia kwenye Mpira wa miguu,TFF VS ZFF mgogoro unafukuta

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
Kutoka Zanzibar

Shirikisho la Mpira wa Miguu la Zanzibar ZFF leo *Limevunja Rasmi Mahusiano yote na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF!*

Hii nikwamujibu wa msemaje Natepe

 
Hivi Wazanzibar hawajui dharau, majivuno na uhuni wa Karia?

Acha waendelee kuisoma number. Atawaambia wasimletee uMaalim Seif Sharif Hamad.

Huyo ndiyo Karia Msomali.
 
Ngoja na sisi tuwafukuze wachezaji wao wote wanaocheza mpira kwenye ligi yetu ya Vpl, halafu tuone nani atakaye poteza. Si wameamua kumwaga mboga!
 
Kwa wazenji wengi kucheza soka la kulipwa ni kuja huku Tanganyika ....! Samahani, huenda nipo nje ya mada.....
 
Hivi Wazanzibar hawajui dharau, majivuno na uhuni wa Karia?

Acha waendelee kuisoma number. Atawaambia wasimletee uMaalim Seif Sharif Hamad.

Huyo ndiyo Karia Msomali.
Msomali anawabania mchuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…