Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Kuna shops unaingia unamkuta huyo muuzaji anaongea na simu muda woooote styms hadi mteja unakereka unaamua kusepa zako.
Kuna wakati huwa najiuliza hivi hawa wanaofanya hivi ndio wamiliki wa hizi shops au ni waajiliwa maana mwajiliwa hata duka likipata hasara yeye hana cha kupoteza sana maana bado anaweza akaajiliwa duka la jirani
Kama hawa wanaofanya haya ndio wamiliki wenyewe basi bado tuna safari ndefu sana