Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Yani mtu unamletea pesa lakn yeye anakuletea mapozz mambo ya ajabu sana hayaHaijalishi ni wamiliki au lah, lakini wanakera Sana!!
mm huwa najiuliza sana km wanaofanya ayo izo ni biashara zao au wamewekwa tu pale na masponsa wao? maana km kakuweka sponsa na anakutunza hautegemei mapato ya dukani yaendeshe maisha yao.Mimi nliendaga duka moja pale makorora kwenye kona ya barabara ya mzingani nikawakuta wapo bize wanaangalia sinema zetu nikaondoka zangu sikununua tena
Ndo hvoomm huwa najiuliza sana km wanaofanya ayo izo ni biashara zao au wamewekwa tu pale na masponsa wao? maana km kakuweka sponsa na anakutunza hautegemei mapato ya dukani yaendeshe maisha yao.
maana hana hata chembe ya wasiwasi kwa mteja kuondoka dukani kwake