Kerry Washington apata Nyota ya 'Hollywood Walk of Fame'

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Nyota za "Hollywood Walk of Fame" ni alama za mafanikio katika sekta ya burudani, zikibeba majina ya wahusika mbalimbali kama vile waigizaji, wanamuziki, producers, directors, vikundi vya maigizo/muziki, watangazaji katika jiji la Los Angeles.​


Baadhi ya vigezo vinavyotumika ili kumpata Mtu heshima ya Hollywood Walk of Fame' ni:
  • Mafanikio makubwa katika tasnia ya Burudani.​
  • Awe amedumu katika sekta husika kwa miaka mitano au zaidi.​
  • Ushahidi wa michango au misaada kwa jamii.
    Uhakika wa mhusika kuhudhuria katika sherehe hiyo ikitokea amechaguliwa.

    Muigizaji Kerry Washington amefanikiwa kupata Nyota ya 'Hollywood Walk of Fame'. Akiwa miongoni mwa waigizaji maarufu nchini Marekani hasa katika Filamu ya "Scandal"



    Umemfahamu Kerry Washington kupitia filamu yake gani?​
 
Amesumbua sana kwenye Scandal, lakini nimemfuatilia tangu kwenye "Ray".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…