Kesho itakuwa mara yangu ya kwanza kupanda daladala

Kesho itakuwa mara yangu ya kwanza kupanda daladala

kwenda21

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
3,423
Reaction score
3,414
Jamani kesho ndiyo itakuwa mara yangu ya kwanza kupanda daladala.

Nipeni kanuni
 
Usitoe elfu 10 asubuhi mkuu, inakuwa changamoto sana kwa ndugu zetu Makonda
 
Mie huwa inachukuwa hata miaka miwili au mitatu sometimes kupanda daladala. Sababu kuu ni kwamba muda mwingi siko mjini. Ila inapotokea nakuwa mjini wakati wa kuchukua dalala inanijia kumwuuliza kondakta nauli ni shilingi ngapi. Kuna konda wazuri wanakujibu pila matusi. Ila kuna wengine sasa.... majibu utakayopata utajuta kuuliza nauli kiasi gani. Na baadhi ya abiria wengine kwenye daladala wanaona kama unajidai. Kumbe hata. Nauli huwa sina badilika kila nikija mjini. Halafu vituo saa nyingine navyo vinabadilika.
 
Nivizuri na ufundishe watoto wako, maisha hayana formula
 
Udamke asubuhi uwahi seat otherwise utarusha mkuki(utashika bomba).
 
Ikisimama panda kalia siti, ukikosa siti shika bomba geuka upande wa pili.


Maelekezo ya konda asubuhi
 
Kama ni ke jihadhari na dunga dunga,hawakawii kukuchafulia sketi,ukaenda mjini na bao kwenye nguo
 
karibu Dar mkuu, mikoani ni vi-hice vile vidogo dogo.... Daladala mnaitaga costa sio haha.
 
FYI
e088f566a0cc447fbf3df6cb49aef98a.jpg
 
Back
Top Bottom