Kesho kazi ipo na Horoya, Friends of Simba naombeni muweke silaha chini, niko chini ya miguu yenu

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Simba kesho wanatupa karata muhimu itwayo Do or Die dhidi ya Horoya ya Guinea ambao nao wanajua kabisa kesho kwao ni final, Horoya ambao kusema kweli kama sio uzembe wetu Simba kwenye mchezo wa kwanza kule kwao ambao walionekana wachovu kabisa, wameingia nchini wakiwa very confident.

They have been interviewed by our social media scribes pale airport wakisema Simba is not a big club in Africa.They pretend to be a giant club but its not true.

Mashabiki wamelishwa matango pori kuwa kwa mkapa hatoki mtu huku bado uongozi uliopo ukiwa na mgogoro bado na friends of Simba.Watu wengi wanadhan mgogoro huo hauwezi kuifanya Simba isipate matokeo but in real sense mpira wa bongo unachezwa sana nje kuliko ndani, ndio maana nje tunapata shida sana kupata matokeo, Simba ikiwa nje haichezi mpira wowote wa maana zaid ya hapa ndani, hiyo ndio fact, kama ingekuwa hivyo Horoya walikuwa wanakuja kukamilisha ratiba tu.

Friends of Simba siwaoni wala siwasikii kwenye mitandao ya kijamii wakiunga mkono uongozi wa mangungu ambao hawamkubali, ina maana kauli ya nguvu moja haipo.

Simuoni wala kumsikia mzee Dalali wala Kaduguda akijitokeza hadharani kusema kesho mambo mazuri, siwaoni akina Magori, akina Mulamu, kiukweli napata hofu kama kweli tuko pamoja kwa ajili ya kumkafini Horoya.

Mashabiki kesho watajaa kweli ila hofu yangu wataondoka na furaha hiyo kesho?
Tusubiri tuone
 
Kwa hiyo unataka kila kiongozi atoke aongee ili 1979Magufuli afurahi? Kila mtu akitoka kuongea hiyo itakuwa timu au genge la wahuni?
 
Lazima Friends of simba tuisimamishe nchi hiyo kesho. Maandalizi yote yako tayari.
 
Simba kesho wanatupa karata muhimu itwayo Do or Die dhidi ya Horoya ya Guinea ambao nao wanajua kabisa kesho kwao ni final, Horoya ambao kusema kweli kama sio uzembe wetu Simba kwenye mchezo wa kwanza kule kwao ambao walionekana wachovu kabisa, wameingia nchini wakiwa very confident.

They have been interviewed by our social media scribes pale airport wakisema Simba is not a big club in Africa.They pretend to be a giant club but its not true.

Mashabiki wamelishwa matango pori kuwa kwa mkapa hatoki mtu huku bado uongozi uliopo ukiwa na mgogoro bado na friends of Simba.Watu wengi wanadhan mgogoro huo hauwezi kuifanya Simba isipate matokeo but in real sense mpira wa bongo unachezwa sana nje kuliko ndani, ndio maana nje tunapata shida sana kupata matokeo, Simba ikiwa nje haichezi mpira wowote wa maana zaid ya hapa ndani, hiyo ndio fact, kama ingekuwa hivyo Horoya walikuwa wanakuja kukamilisha ratiba tu.

Friends of Simba siwaoni wala siwasikii kwenye mitandao ya kijamii wakiunga mkono uongozi wa mangungu ambao hawamkubali, ina maana kauli ya nguvu moja haipo.

Simuoni wala kumsikia mzee Dalali wala Kaduguda akijitokeza hadharani kusema kesho mambo mazuri, siwaoni akina Magori, akina Mulamu, kiukweli napata hofu kama kweli tuko pamoja kwa ajili ya kumkafini Horoya.

Mashabiki kesho watajaa kweli ila hofu yangu wataondoka na furaha hiyo kesho?
Tusubiri tuone
Wanathiimba,tulete mzungu,tulete mzungu,weka hoooofu chini,furaha juu.🦁Tunatoboa mapeeema kabisa hiyo kesho. 🤔
 
Ina maana hawa Friends of Simba ndiyo wanasababisha Simba ifanye vibaya? Basi waitwe Enemies of Simba na ikiwapendeza waanzishe Club yao.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kocha achezeshe wachezaji kwenye nafasi zao tutawapiga nyingi sana hao watoto, wanasema Simba sio timu kubwa hawana tofauti na wale waliotuita Zuwena tukawatoboa nje ndani.
 
Ukubwa uwa haulazimishwi, Ukubwa unakuja wenyewe, ukiwa una twaa Mataji ya Caf huitaji kujitututumua wewe utaitwa mkubwa tu.
Sasa ushindi wenu Kwa baadhi ya timu Kwa Mkapa, Tena ushindi wenye mizengwe na malalamiko mengi yatolewayo na timu pinzani bado mnataka muitwe wakubwa!!!
Mbumbumbu fc wekezeni kwenye mpira mtwae Mataji mtaheshimika.
 
Simba sikuhizi ni mwendo wa kimyakimya halafu wapi champions na hawaringi.
 
Ukubwa uwa haulazimishwi, Ukubwa unakuja wenyewe, ukiwa una twaa Mataji ya Caf huitaji kujitututumua wewe utaitwa mkubwa tu.
Sasa ushindi wenu Kwa baadhi ya timu Kwa Mkapa, Tena ushindi wenye mizengwe na malalamiko mengi yatolewayo na timu pinzani bado mnataka muitwe wakubwa!!!
Mbumbumbu fc wekezeni kwenye mpira mtwae Mataji mtaheshimika.
Utopolo sio wakubishana na mnyama, nenda kacheze na watoto wenzio.
 
Back
Top Bottom