Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Simba kesho wanatupa karata muhimu itwayo Do or Die dhidi ya Horoya ya Guinea ambao nao wanajua kabisa kesho kwao ni final, Horoya ambao kusema kweli kama sio uzembe wetu Simba kwenye mchezo wa kwanza kule kwao ambao walionekana wachovu kabisa, wameingia nchini wakiwa very confident.
They have been interviewed by our social media scribes pale airport wakisema Simba is not a big club in Africa.They pretend to be a giant club but its not true.
Mashabiki wamelishwa matango pori kuwa kwa mkapa hatoki mtu huku bado uongozi uliopo ukiwa na mgogoro bado na friends of Simba.Watu wengi wanadhan mgogoro huo hauwezi kuifanya Simba isipate matokeo but in real sense mpira wa bongo unachezwa sana nje kuliko ndani, ndio maana nje tunapata shida sana kupata matokeo, Simba ikiwa nje haichezi mpira wowote wa maana zaid ya hapa ndani, hiyo ndio fact, kama ingekuwa hivyo Horoya walikuwa wanakuja kukamilisha ratiba tu.
Friends of Simba siwaoni wala siwasikii kwenye mitandao ya kijamii wakiunga mkono uongozi wa mangungu ambao hawamkubali, ina maana kauli ya nguvu moja haipo.
Simuoni wala kumsikia mzee Dalali wala Kaduguda akijitokeza hadharani kusema kesho mambo mazuri, siwaoni akina Magori, akina Mulamu, kiukweli napata hofu kama kweli tuko pamoja kwa ajili ya kumkafini Horoya.
Mashabiki kesho watajaa kweli ila hofu yangu wataondoka na furaha hiyo kesho?
Tusubiri tuone