Kesho Kocha Nabi atuwekee DOUBLE STRIKERS

Kesho Kocha Nabi atuwekee DOUBLE STRIKERS

Rosh Hashannah

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
3,415
Reaction score
2,043
Kesho Kocha Nabi atuwekee Mayele na Musonda. Wingers wetu eg. Twisila ni matatizo. Nyuma yao acheze Aziz Ki kama yuko fit.

Mayele akicheza mwenyewe atuzurura tu uwanjan, nadhan mmeona game iliyopita, Mayele vs Monastr, Baleke vs Horoya, Bocco vs Raja 😂 Huku mabeki sio wa NBC Premier league kwamba wanachoma kila saa.

Formation za kutembea nazo 4-4-2 au 4-3-1-2. Ila hii Formation pendwa ya Nabi 4-2-3-1 kumuacha Mayele kama lone Striker HATUTOBOI. Mayele sio Mugalu

Dirisha lijalo tusajili WINGERS wa maana. Morrison ni mzuri ila nidhamu 0. Kesho angekuwepo angesaidia. Tuache siasa tulete watu, mambo ya Fei Toto yasitokee tena.



IMG_20230219_001211.jpg
 
Kwa hiyo double strickers ndio zitazuia Yanga wasipokee kichapo cha mbwa mwizi?

Kesho Diara ajiangae kuvunjika kiuno, bila goli nne Tp Mazembe hawatoka uwanjani.
 
Back
Top Bottom