Kesho kutakuwa na Mgawo wa Umeme Tena Bahari Beach, Ununio, Boko, Mbweni, Bunju?

Kesho kutakuwa na Mgawo wa Umeme Tena Bahari Beach, Ununio, Boko, Mbweni, Bunju?

Prof Griff

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2008
Posts
6,772
Reaction score
5,258
Ukiwapigia TANESCO Call Center watakwambia ni "emergency" imetokea kwenye vituo vyao vya kusambaza umeme, na mafundi wao wabobezi wanalishuglikia tatizo. Wakimaliza marekebisho ya dharura umeme utarudi muda wowote.

Wadau walipa LUKU tujiandae kisaikolojia kwa "emergency" ya kesho ya umeme kukatwa kuanzia saa 1 asubuhi hadi baada ya saa 2 jioni.

Hiyo ni lazima.
 
Hata hivyo Dar Tanesco wanatusahahu sana kwenye kukata umeme mi naomba waongeze spidi ili tunyooke maana mikoani huko wanawanyoosha sana na kata umeme. Ili matusi yote tulomtusi jiwe tuyatubu
 
Hata hivyo Dar Tanesco wanatusahahu sana kwenye kukata umeme mi naomba waongeze spidi ili tunyooke maana mikoani huko wanawanyoosha sana na kata umeme. Ili matusi yote tulomtusi jiwe tuyatubu
Leo nimestaajabu umeme upo siku nzima. Lakini J4 najua lazima wakate
 
mgao ubaki hukohuko pamoja na masaki, oysterbay, mikocheni nk maana hawa wana uwezo wa kununu gensets
 
Back
Top Bottom