Ukiwapigia TANESCO Call Center watakwambia ni "emergency" imetokea kwenye vituo vyao vya kusambaza umeme, na mafundi wao wabobezi wanalishuglikia tatizo. Wakimaliza marekebisho ya dharura umeme utarudi muda wowote.
Wadau walipa LUKU tujiandae kisaikolojia kwa "emergency" ya kesho ya umeme kukatwa kuanzia saa 1 asubuhi hadi baada ya saa 2 jioni.
Hiyo ni lazima.