Kesho ni siku ya kwanza kwa maandamano siku ya Alhamisi baada ya jumatatu iliyopita.
Stamina ni muhimu katika mapambano. Kwani kusikia kwa kenge hadi damu masikioni:
Stamina, yaani uwezo wa kuendelea kukomaa bila ya kukata tamaa inajengwa na uhamasishaji usiokoma.
Jambo lolote haliwezi kupuuzwa. Kuwakatisha tamaa wafuasi kwa namna yoyote kunapaswa kuepukwa kama ukoma:
Hapo Eric Omondi mchekeshaji nguli wa huko anaendelea na kazi. Kwenye mkokoteni ana ma laki ya CV za wakenya akizipeleka ikulu ya Nairobi.
Ifahamike ikulu ni nyumba ya umma si nyumba ya mtu. Haupo uhalali wowote kumzuia mwingine kufika kwenye nyumba hiyo ya umma.
Ni kutokujitendea haki kulikopitiliza kudhani watu hawa ni wajinga, wasiojitambua au kuwa ni wenye kutumiwa.
Hapo ndipo ni vyema ngoswe akaachiwa mambo yake kuliko kujimwambafy kujaribu kumzodoa.
Wanasema waswahili, kitanda usichokilalia huwezi kuujua ukali wa kunguni wake.