kesho msikose kuingia TCU.GO.TZ

Kipapuro

Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
32
Reaction score
14
:A S cry:Kwa mujibu wa TCU kesho they gona publish names of students who were not selected during that so called first round of selection ......They are going to lounch:flypig: so called second round of APPLICATION forthose who weere notb selectet.OOOOO my ALLAH sijui nitakuemoooo maana mpaka sasa sija jua wapi wamenitupaaaaaaa fake TCU:alien:
 
mmmmmm TUTEGEMEEE JIONI OFCOURSE maana second round application is readyopen friend..au mda wowote from now
:A S-baby:
 
kwa watu ambao hawaja chaguliwa kupitia first round wamesha julishwa kupitia profile zao so kama wewe hauja julishwa it means kwamba you are already selected thru first round....
 
kwa watu ambao hawaja chaguliwa kupitia first round wamesha julishwa kupitia profile zao so kama wewe hauja julishwa it means kwamba you are already selected thru first round....

Not yet processed, ndo imekula kwangu au???
 
ila sehem za kujaza walio miss selections zipo wazi...ni hayo majina tu then wakujaza wajaze....
 
Duuh mbona mwaka huu watu wanapresha sana na tcu? kila nikiingia humu jamvini ni story za tcu tu, tulizeni presha vijana mambo yatakaa sawa tu. pole sana ndungu zangu
 
WASHAFUNGUA SECOND APPLICATION LEO MWISHO TAREHE 25 MWEZI HUU:israel:
 
Aisee..mbona sielewi....inamaana kama umekosa wanakuandikia ujumbe gani?






PJHICDTA
 
jamaa una kiwewe hadi unashindwa kutype fresh, 2liza ball kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…