kesho msikose kuingia TCU.GO.TZ

Vip kuhusu walokuwa selected na yenyewe watatoa kesho au?

Mkuu haihitaji elimu ya chuo kuelewa hili, ukiona umo kwenye list ya ambao hawajachaguliwa jua tayari imekula kwako, ukiona haumo jua umechaguliwa.
 
kwan kuna chuo kilichotanganza selection zake?
 
kesho saa ngapi au ndo wazushi?kwani ni wale walio aplly 2nd round applction au vipi?:baby:mi sijaelewa tcu wanatakaje:rant:bac poa 2subiri hiyo kesho.
 
Oya angalia kwanza tarehe ya hii post bana, japo nahic haupo criaz coz coment yako imekaa kikatun flan hv..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…