Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,488
- 2,762
Haahaa kule Kuna fomu moja tu mkuu....Habari wakuu,
Kesho tarehe 2/07/2025 ninatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Ruangwa mkoa wa Lindi.Nitachukua na kurudisha kesho hiyohiyo.
Kama mwanachama mwenzenu dua zenu muhimu sana.
Nimejiandaa kwa hilo mkuu,nitakuwepo na walinzi wa kutosha.2020 yuko mwenzako aliokotwa Mkuranga
Kila la heriNimejiandaa kwa hilo mkuu,nitakuwepo na walinzi wa kutosha.
Kila lakweli Ila make sure hapo Kwako kuwe na tunnel za kukuwezesha utoke ndani kupitia Chini kwa Chini otherwise utaenda kule ambapo watu wakiendaga huwa hawarudiiHabari wakuu,
Kesho tarehe 2/07/2025 ninatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Ruangwa mkoa wa Lindi.Nitachukua na kurudisha kesho hiyohiyo.
Kama mwanachama mwenzenu dua zenu muhimu sana.
Hatareee sanaa inabidi uwe na ulinzi maalumu wa kijasusi ama uwakodi mossad.Kuna jamaa mmoja alikufa kifo cha kutatanisha sana kwenye hilo jimbo, alikuwa mtia nia !
Hatari sana ndg yanguHatareee sanaa inabidi uwe na ulinzi maalumu wa kijasusi ama uwakodi mossad.
Ila mama akiamua katelephone asirud nakwambia tupo hapa harudiii n'goooo
Umeshaacha skendo za kutoka na wake za watu mheshimiwa mbunge?Habari wakuu,