Juzi alisema yeye na magufuli ni wamoja, mmmhhhh!!! Wamoja?!Mapema mno kumsifia mama.Bado hajapata Misukosuko ya kibabe. Hata mwanzoni Magu alipewa kila sifa ya dunia hii.Lakini alivyoanza kupigwa na mawimbi km Tetemeko la Kagera,Corona,Uchaguzi,n.k hapo ndipo baadhi ya watu walipoanza kumkataa.
maneno na vitendo ni mambo mawili tofauti. tumpe mudaJuzi alisema yeye na magufuli ni wamoja, mmmhhhh!!! Wamoja?!
Usingekuwa kwenye jukwaa hili.Weka sababu zenye mashiko ili ata sisi tusiopenda siasa zituvutie
Kupenda siasa na kuwa mwanachama wa chama cha siasa nahisi ni vitu viwili tofauti japo vinataka kuelekeana. Hlikadhalika kuwapo kwenye jukwaa hili siyo uthibisho wa kupenda siasaUsingekuwa kwenye jukwaa hili.
Juzi alisema yeye na magufuli ni wamoja, mmmhhhh!!! Wamoja?!
Hakuna utawala utakaokosa baya mkuu, japo mama Samia ana mwezi mmoja Kama rais angalau.
Ila kiongoz,wasemao husema"dalili ya ushehe ni kilemba"Mapema mno kumsifia mama. Bado hajapata Misukosuko ya kibabe. Hata mwanzoni Magu alipewa kila sifa ya dunia hii. Lakini alivyoanza kupigwa na mawimbi km Tetemeko la Kagera, Corona, Uchaguzi , n.k hapo ndipo baadhi ya watu walipoanza kumkataa.
Ni mapema mno ku-judge tulia.Ingawa ni kweli Rais wa sita "anaonekana" kuwa somehow atabeba mazuri ya awamu zote.Ni miaka mingi imepita takribani 20 sikuwahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa nchi japo nilikuwa upande wa wale wanaokandamizwa na kuonewa katika tafakuri ndani ya kichwa change nimeona ni jiunge rasmi na Chama tawala kwa awamu hii ya sita kwa sababu zifuatazo.
1. Awamu ya kwanza watanzania wote tulikuwa ni CCM ila sikuwa na umuhimu wa kujiunga na chama kwani ilikuwa ni moja kwa moja Mimi ni chama hicho japo sikuwahi kushugulika na mambo ya kisiasa hivyo hakukuwa na ulazima kujinasibu kuwa CCM.
2. Awamu zilizopita kuacha ya baba wa Taifa kila moja ilikuwa na maudhi yake kuanzia kwa mzee mwinyi hadi kwa mwendazake, kila Awamu ilikuwa na jambo baya ambalo halikunifurahisha hivyo kushindwa kujinasibisha na CCM.
3. Awamu hii ya Sita inamchanganyiko wa mambo mengi bora kutoka karibu kwa kila Awamu kuanzia Baba wa Taifa hadi Awamu ya Mwendazake hivyo nadhani ni muda muafaka kukitumukia chama hiki na serikali take.
4. Nahisi Nina uwezo mkubwa wakusaidia nchi kuliko watu wengi wenye dhamana ndañi ya chama.
5. Naona kuna kila dalili ya utawala wa sheria kuchukua mkondo wake kitu nilichokuwa nikitamani siku nyingi kwa nchi yangu hivyo kesho nitaongea na waandishi wa habari.
Asanteni na usiku mwema.