kisiki kizito
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 676
- 858
Ndiyo Mkuu Ila Cjui nafikaje... Yaani cpajuiTaifa stars wanacheza kesho kumbe Chamazi??
Haaa Hapo wapo mkuuMkuu mbona hamna haja ya maandalizi hapo tu.
duuhNdiyo Mkuu Ila Cjui nafikaje... Yaani cpajui
fika mbagara rang 3...ukifika mbagala rang 3 panda magari yanayokwenda mmbande utashuka uwanjani(azam)...kama utakuwa na uwezo wa kufika kariakoo....kuna magari ya mojakwamoja toka kariakoo(gerezani)..paka mmbande kisewe(japo wewe utashuka azam kiwanjan)Habari wakuu!!
Kupitia Kichwa cha Habari Mimi nakaa mikocheni regent kwa anayeweza kunielekeza namna YA kufika Chamazi complex kuangalia mechi Kesho naomba Anielekeze..... Yaani usafiri na kama kuna maandalizi yoyote natakiwa kufanya...
Ahsantenj
Je kurudi Wakati wa Usiku inakuaje mkuufika mbagara rang 3...ukifika mbagala rang 3 panda magari yanayokwenda mmbande utashuka uwanjani(azam)...kama utakuwa na uwezo wa kufika kariakoo....kuna magari ya mojakwamoja toka kariakoo(gerezani)..paka mmbande kisewe(japo wewe utashuka azam kiwanjan)
Magari yanakuwepo hata wakati wa kurudi utapanda gari mpaka Mbagala kisha utapanda la mbagala rangi 3 - Kawe au Mbagala - GerezaniJe kurudi Wakati wa Usiku inakuaje mkuu
Ahsantee Mkuu Ngoja nikaangalie Vijana wetu wakipambanaMagari yanakuwepo hata wakati wa kurudi utapanda gari mpaka Mbagala kisha utapanda la mbagala rangi 3 - Kawe au Mbagala - Gerezani
Panda gari ya mbagala rangi tatu,hapo utazikuta za chamaz panfaHabari wakuu!!
Kupitia Kichwa cha Habari Mimi nakaa mikocheni regent kwa anayeweza kunielekeza namna YA kufika Chamazi complex kuangalia mechi Kesho naomba Anielekeze..... Yaani usafiri na kama kuna maandalizi yoyote natakiwa kufanya...
Ahsantenj
Ahsantee mkuuPanda gari ya mbagala rangi tatu,hapo utazikuta za chamaz panfa
Je kurudi Wakati wa Usiku inakuaje mkuu