1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Poapoa mkuuHongera sana!!
Mmmhpicha wapi??
Hayo siyajui mkuu,pia usisahau kufanya yale mazoezi yanayoongeza nguvu za kiume.
Kwa nn umeacha kutumia vyuma vizito
Nliacha sababu kubwa nakosa mda,, ukitoka job unahitaji kupumzika,, alafu pia inahitaji kwenda kwa washkaji ambao wanavyo,, au kwenda gymKwa nn umeacha kutumia vyuma vizito
Nlishaacha way back,Vyuma vizito vipo vingi mbona
Nliacha sababu kubwa nakosa mda,, ukitoka job unahitaji kupumzika,, alafu pia inahitaji kwenda kwa washkaji ambao wanavyo,, au kwenda gym
Lakini kuubeba mwili wako ni very simple,, hapo hapo chumbani au sebule inatosha hasa mida ya alfajiri,,, then unapga maji unaendelea na mishe zingine
kwa nini usiwe unamnyanyua wife au anazinguaNlishaacha way back,
Sasa nanyanyua mwili wangu tu
Kwa kutumia vyuma?Mi nataka nianze tena
Haina tofaut na kunyanyua chumakwa nini usiwe unamnyanyua wife au anazingua
NdioKwa kutumia vyuma?
Poapoa mkuuHongera Sana.
Aya mkuuNdio