Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
maskin ToTo timu yangu ya mkoa sijui kama tutamek mwaka huu
usihofu mkuu Toto wapo vizuri we utaona mwadui anavokaa leo
Labda siyo mwadui ya julio mtakaa kweupeeee....na stand anakuja kujitwalia point zake tatu
julio anajua balaa la toto toka mwaka juzi na mwaka jana daraja la kwanza mwadui hajawai mfunga Toto hapa kirumba... Halafu jana julio kaloga sana mazoezini uwanjani kirumba
Naichukia timu yoyote inayonolewa na Julio,
Toto africa hebu nipigie hao Mwadui goli za kutosha.
Dk ya 90 toto wanapata bao
toto kashinda 1 bila
daah ila timu yangu ya mwadui inapiga mpira sana
Mkuu Maziku Masunga Jr.: Mwadui ni timu ya nyumbani kabisaaa! naikuchukia kwa sababu ya uwepo wa Julio, akiondoka nitaipenda. Hivi sasa nitaendelea kushabikia Young Africans, Toto Africans, African Sports na Stand United.
daah ila timu yangu ya mwadui inapiga mpira sana
hahaha Makoye Matale sasa julio si ndo anaipa kiki mwadui
teh teh teh mi mwadui damu damu, sema toto game za katikati ataanza kuharibu
Hizo timu zako mwaka huu lazima Simba azikalishe nyumbani na ugenini, hahahhaha tayari pointi 24 kibindoni(natamani iwe kweli).Mkuu Maziku Masunga Jr.: Mwadui ni timu ya nyumbani kabisaaa! naikuchukia kwa sababu ya uwepo wa Julio, akiondoka nitaipenda. Hivi sasa nitaendelea kushabikia Young Africans, Toto Africans, African Sports na Stand United.