Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,491 Reaction score 2,104 Sep 14, 2015 #21 Masuke said: Hizo timu zako mwaka huu lazima Simba azikalishe nyumbani na ugenini, hahahhaha tayari pointi 24 kibindoni(natamani iwe kweli). Click to expand... Yang'hana? Makanza gaguyomba namhala!
Masuke said: Hizo timu zako mwaka huu lazima Simba azikalishe nyumbani na ugenini, hahahhaha tayari pointi 24 kibindoni(natamani iwe kweli). Click to expand... Yang'hana? Makanza gaguyomba namhala!
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Sep 16, 2015 #22 Toto Africans FC nawakubali sana.
Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,443 Reaction score 4,007 Sep 16, 2015 #23 leo hali ni mbaya toto kishakubali 2-0 half time sasa mtibwa wanaondoka kanda ya ziwa na pointi 6
Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,443 Reaction score 4,007 Sep 16, 2015 #24 kipindi cha pili kinaanza toto 0 -mtibwa 2
Rockcity native JF-Expert Member Joined Dec 31, 2012 Posts 2,174 Reaction score 1,445 Sep 16, 2015 Thread starter #25 Trimmer said: leo hali ni mbaya toto kishakubali 2-0 half time sasa mtibwa wanaondoka kanda ya ziwa na pointi 6 Click to expand... hali mbaya leo maji yamezidi unga
Trimmer said: leo hali ni mbaya toto kishakubali 2-0 half time sasa mtibwa wanaondoka kanda ya ziwa na pointi 6 Click to expand... hali mbaya leo maji yamezidi unga
munyambilisi Senior Member Joined Jul 28, 2015 Posts 192 Reaction score 71 Sep 16, 2015 #26 Stand united and Mwadui shy town stand up
Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,443 Reaction score 4,007 Sep 16, 2015 #27 Rockcity native said: hali mbaya leo maji yamezidi unga Click to expand... mpira uliochezwa na toto dhidi ya mwadui siuoni kabisa leo naona vijana wa maxime leo wametawala hii mechi
Rockcity native said: hali mbaya leo maji yamezidi unga Click to expand... mpira uliochezwa na toto dhidi ya mwadui siuoni kabisa leo naona vijana wa maxime leo wametawala hii mechi