Kweli Bishanga wewe ni adict, kinara na nguli wa MMU.
Sasa hii sredi
yako inahusiana vipi na MMU?
Inahusika sana tu!yani sana kuliko unavoweza kufikiri,
-ndo muda wa watu kudanganya home kuwa wako mpiarni kumbe hawapo huko,
-ndo kipndi cha wengine kupanga appointment wakijua mume yupo kwenye mpira,n
-ndo kipindi cha wanandoa kutokutafuat usingizi pamoja,manake mmoja yupo mpirani mwingine katangulia kulala,
-ndo kipindi cha watu kununiana kisa wako timu tofauti,.
-ndo kipindi cha waume zetu libido zao kushuka kila timu zao zinapofungwa
-ndo kipindi tunapoanza kuwalisha viporo au vyakula vilivyopashwa na microwave
-ndo kipindi wale wenzetu wa chama cha upinzani (NJE CUP)wanapochukua maujiko wakijifanya hawajali waume zetu kukaa bar mpaka usiku wa manane manake wanakua nao na sisi tumewanunia
-ndo kipindi cha mahousegirl kuachiwa kufungua milango na mageti usiku manake siye tumenuna na kuacha maagizo kabisa "ukisikia babako anagonga uamke kufungua"
BASI MRADI MAMBO MENGI TU!