Dumemiss natafuta-kama avatar aliweka inamwakilisha yeye imekaa ki miss bantu! inanitamanisha
`UMENISHINDA TABIA
Hujataka kushindana tu...`UMENISHINDA TABIA
Mungu anakuona ujue...Hebu jaman mseme mtawapeleka wapi hao wapenzi wenu! Mimi Leo mapemaa hata kunyonyesha mtoto sitaki saa moja moja jioni tuka Bluzike kidogo kwa mziki lainii wa Blues
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo kuna mtoto hanyonyi mama yake anaenda kucheza blues[emoji12] [emoji12] [emoji12]Hebu jaman mseme mtawapeleka wapi hao wapenzi wenu! Mimi Leo mapemaa hata kunyonyesha mtoto sitaki saa moja moja jioni tuka Bluzike kidogo kwa mziki lainii wa Blues
Ndio maana aliumba wapendanaoMungu anakuona ujue...
[emoji4] [emoji4] Mkuu Leo anivumilie kwa kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo kuna mtoto hanyonyi mama yake anaenda kucheza blues[emoji12] [emoji12] [emoji12]
kutoka nae kwenda wapi?Husika na tittle hapo juu,
Kama ukipewa fursa ya kuchagua mmoja wa member humu JF awe ni ke au ni me je wewe utapenda kutoka na nani?
Onyo: Mimi ni padre plies nakaa pembeni fungukeni wenyewe mi yangu macho.
Wapweke wote wa KE..😕Husika na tittle hapo juu,
Kama ukipewa fursa ya kuchagua mmoja wa member humu JF awe ni ke au ni me je wewe utapenda kutoka na nani?
Onyo: Mimi ni padre plies nakaa pembeni fungukeni wenyewe mi yangu macho.