Maandamano ya TUNISIA yalipochanganya na raia kufa sana POLISI wakagundua ukweli kisha nao wakaanza kuandamana. Kwa TZ kwa sasa wanafunzi wanaonyesha njia kwa kugoma siku yaja kibano kitakapo wazidia wafanyakazi wa TZ nao wataingia ktk migomo na maandamano hapo ndipo Polisi wa Bongo itawapasa waonyeshe kuwa na wao mshahara wao haumalizi wiki, ni wazi watatuua kama kawaida yao lakini mwisho wa siku macho yao yatafunguka na kuuona ukweli kuwa kibano cha life ni chetu wote na wao pia mshahara wao ni bajeti ya MBWA wa mtoto wa JK yaani RIZ 1 hivyo wataungana ktk maandamano yetu sijui JK atakimbilia USA au UK, Zimbabwe au Ivory Coast, Sudan au Congo. EMBU mie nisubiri hiyo siku MGAYA atakapo tikisa nchi maana JK,EL na RA pamoja na CCM yao wanamuofia DKT SLAA,MBOWE, TUNDU LISU nk lakini hawatoamini MGAYA atakapoongoza mapinduzi. MAANA WAFANYAKAZI WA BONGO WANAKARIBIA KUCHUKUA SHERIA MKONONI jinsi wanavyofanywa manamba bdani ya nchi yao wenyewe...................... HII NI TAFAKURI YANGU YA LEO