Kesho nitatoa mfano wa jinsi gani ambavyo ingepaswa Gwajima ajibiwe

MwajabuOmary

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
2,059
Reaction score
2,982
Nimeona watu wakijibu hoja za Gwajima kwa mihemuko bila kuja na hoja kinzani ukilinganisha na Gwaji boy. Nahitaji maandalizi na sio kukurupuka, jamaa amepiga kwenye mshono, tukubali tusikubali.
 
Na wasisahau alisema atakuja hata mara saba kufanya interview kama itatokea kutumwa mtu kuja kumjibu fyongo,,,,na akasema ataongea zaidi ya aliyoyaongea juzi ,,,, we better wait 😊
 
Kilichofanyika Leo ni kutapatapa na kuhitaji huruma kwenye facts.
 
Linalowezekana lifanyike leo, kwanini unaanza kuiwaza kesho yako ili hali haujui itakuwa inafanana vipi? 😎
 
Gwajima mwenyewe Muoga mtaona atavyorudi kugeuza maneno
..asimulie detailed account ya some specific cases anzozijua, ili asaidie upelelezi wa kutatua hiyo dhana ya utekaji, kama hafanyi hivyo basi hiyo ni Kiki ya kihuni, kwasababu anajua hatarudi tena bungeni kwa tiketi ya CCM, I.e amemwaga mboga na ugali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…