kesho sikukuu

kesho sikukuu

jino kwa jino

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
794
Reaction score
191
wapenzi napenda kujua kama sikuu kuu ya kesho ni kweli ipo au lah nipange ratiba yangu kabisa na mamsap nataka niwe nae kesho for 24hrs kama ATM, knye kalenda yaonyesha kesho ni maulidi
 
Yap,kesho tutaungana na waislam ktk maulid. Nawatakia sikukuu njema wote wanaoamini ktk Uislam.
 
Back
Top Bottom