johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bwana Yesu apewe sifa!
Itakuwa ni safari ya kitume ambapo wagonjwa na wenye shida mbalimbali waliopo gerezani tutawaombea.
Kwa pamoja tutamwomba Mungu awape wepesi katika mitihani wanayoipitia kwa sasa.
Hili ni agizo la Yesu kwamba tukiyatenda haya kwa waliopo majaribuni basi twamtendea Yesu mwenyewe.
Katiba ya JMT inaruhusu hili.
Mungu ni mwema wakati wote.