johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Amina mtumishi naona saivi tuko pamojaBwana Yesu apewe sifa!
Amina!Amina mtumishi naona saivi tuko pamoja
Walichokosea wale Bavicha ni kuvaa sare za chama!Mbona wanaofanya hivyo makanisani wamakuwa wakikamatwa hivi karibuni,je huko magerezani hakuna kukamatana,au mkamataji wa makanisani ni tofauti na mkamataji wa magerezani?Ingependeza kama John ungelitolea ufafanuzi.
Mungu akusamehe haujui ufikiriacho bwashee!Unafiki katika kiwango cha SGR
Bwana Yesu apewe sifa!
Itakuwa ni safari ya kitume ambapo wagonjwa na wenye shida mbalimbali waliopo gerezani tutawaombea.
Kwa pamoja tutamwomba Mungu awape wepesi katika mitihani wanayoipitia kwa sasa.
Hili ni agizo la Yesu kwamba tukiyatenda haya kwa waliopo majaribuni basi twamtendea Yesu mwenyewe.
Katiba ya JMT inaruhusu hili.
Mungu ni mwema wakati wote.
Amina mpendwa!Huo ndio utumishi YohanneMbatizaji
Amina mpendwa!
Amina mtumishi!Mwambie kaka Mbowe hivi
"Autafute kwanza ufalme wa Mungu na mengine yote atazidishiwa"
Walioutafuta kwanza ufalme wa Mungu popote walizidishiwa mengine kwani tumeuona;
.Ukimtoa Yusufu gerezani
.Ukiwangulia Paulo na Sila milango ya gereza
.Ukimwokoa Daniel kweye Tundu la simba
.Ukiwaokoa Meshack, Shedrack na Abednego kwenye moto
Nesi mshahara umepanda....Mwambie kaka Mbowe hivi
"Autafute kwanza ufalme wa Mungu na mengine yote atazidishiwa"
Walioutafuta kwanza ufalme wa Mungu popote walizidishiwa mengine kwani tumeuona;
.Ukimtoa Yusufu gerezani
.Ukiwangulia Paulo na Sila milango ya gereza
.Ukimwokoa Daniel kweye Tundu la simba
.Ukiwaokoa Meshack, Shedrack na Abednego kwenye moto
Nesi mshahara umepanda....