Kesho tukutane Taifa, kuna tamasha kubwa kutoka WCB

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Kesho asubuhi kuna tamasha kubwa litafanyika taifa .

Msikose kiingilio bure

Mgeni rasmi ni Mh majaliwa na Ali hasani mwinyi

Wasanii watakuwepo
Kama vile wcb ali kiba ,wasanii wa singeli,wasanii wa bongo muvi wakiongoza na jb.
 
Kwanza kutaanza na jogging ya pamoja muda wa saa 12 asubuhi ikiongozwa na mwinyi
 
Kesho asubuhi kuna tamasha kubwa litafanyika taifa .

Msikose kiingilio bure

Mgeni rasmi ni Mh majaliwa na Ali hasani mwinyi

Wasanii watakuwepo
Kama vile wcb ali kiba ,wasanii wa singeli,wasanii wa bongo muvi wakiongoza na jb.
Mkuu nadhani jioni ndo utazungumzia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ban yako ya miaka mitano imeiahaa au umetoa rushwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…